Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kitabu Cheusi Cha Kumbukumbu Zinazoishi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Kitabu Cheusi Cha Kumbukumbu Zinazoishi

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 24, 2026
Product Views:
13
In category:
Sample

Kitabu Cheusi Cha Kumbukumbu Zinazoishi

"Nimeandika haya si kwa ajili ya sifa, bali kwa ajili ya mwendelezo,"Sauti ya Mti uliokatwa". Katika safari yangu ya miaka 70, nimeona dunia ikiba- dilika; nimeona Miji ikijengwa na miti ikikatwa, "pumzi" lugha ya asili. Mji haujengwi kwa zege tu. lakini nimejifunza ukweli mmoja: Mtu asiyejua alipotoka, hawezi kujua aendako. Kitabu Cheusi ni zaidi ya karatasi na wino. Ni ufunguo wa sanduku la hazina ya ukoo wa Abakoba. Ndani yake, nimefungua siri za Ekikaro zi- lizotuunganisha na Ruhanga. Ujasiri wa Kaijage Kitumwabazimu uliolin- da ardhi yetu, na hekima ya Mzee Kanyambo iliyoponya mioyo iliyoumia. (Cultural Ecology) Kama Mtaalamu na Mwanaharakati wa mazingira, (Adamu mpya) kuwa uhai wetu haujitengi na ardhi hii ya Bukoba. Miti hii ya asili, mito hii, na vilima hivi ni mashahidi wa maagano yetu. Nawaachia ninyi, watoto wangu Yvona, Bella, Orion na Mapacha; Suzie na Samantha na wajukuu zangu, si tu historia, bali nyenzo ya ulinzi. Kwa neno Maendeleo usiache upweke na majeraha kwa ardhi. Nikitumia Ushahidi wa kitaalamu, Thamani ya kiuchumi na Uhifadhi wa Utamaduni Kitumieni kitabu hiki kama dira yenu. Jikumbusheni kuwa sisi Abakoba ni watu wa misingi, watu wa Umoja, na walinzi wa uumbaji. Msikubali uk- weli wa mababu zenu ufutike kwa upepo wa mabadiliko ya kigeni. Mazingira sio pambo, ni kiungo muhimu kwa Maisha ya Mji (essential infrastructure). Utajiri wa kweli sio gari wala nyumba ni ardhi yenye uwe- zo wa kuzalisha hewa safi. Soma kwa heshima, tunza kwa uadilifu, na ongeza sura yako kwa ujasi- ri. Kwa upendo na imani,

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold