KWA KUWA SASA UMEOKOKA
“KWA KUWA SASA UMEOKOKA” (Muongozo wa mafundisho na maombi kwa waongofu wapya).
\\\\\\\"Hongera Kwa Kuokoka\\\\\\\"
Moja ya maamuzi mazuri na muhimu uliyowahi kuyafanya katika maisha yako ni maamuzi ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Kuokoka sio dini mpya kama wengi wanavyodhani bali ni kuamini kuwa Yesu Kristo alikuja duniani akateswa na kuuwawa msalabani ili Mimi na wewe tuwe huru.
KWA KUWA SASA UMEOKOKA (Muongozo wa Mafundisho na Maombi kwa Waongofu Wapya) ni kitabu maalum kilichoandikwa ili kusaidia wale waliompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wao hivi karibuni. Kitabu hiki kina lengo la kuwa mwongozo wa kina na wa vitendo, ukitoa msaada wa kiroho kwa waongofu wapya ili waweze kukua katika imani na kuimarisha uhusiano wao na Mungu:
Ndani ya kitabu hiki utajifunza juu ya;
Mafundisho ya msingi ya Kikristo: Kitabu hiki kinaelezea kwa undani mafundisho muhimu ya imani ya Kikristo ili kuwasaidia waongofu wapya kuelewa msingi wa imani yao.
Muongozo wa maisha ya Maombi: Inatoa mwongozo wa jinsi ya kuomba kwa ufanisi na jinsi ya kuimarisha maisha ya kiroho kupitia maombi ya kila siku.
Ukuaji wa Kiroho: Kitabu hiki pia kinaelekeza jinsi ya kuishi maisha ya Kikristo yenye ushuhuda na jinsi ya kushinda changamoto za kiroho na za kila siku.
Mungu aendelee kukuonekania katika safari yako hii mpya ya Imani na mimi ninakuombea Kila siku kuwa ukauone uzuri wa kumpokea huyu Yesu maishani mwako kama sisi wengine.
JIPATIE NAKALA NYINGINE KUTOKA KWA PASTOR TONY OSBORN
NGUVU NYUMA YA KUFUNGA NA KUOMBA https://www.getvalue.co/prod/nguvu_nyuma_ya_kufunga_na_kuomba
SILAHA ZA VITA VYETU https://www.getvalue.co/prod/silaha_za_vita_vyetu
NDOTO UANZOOTA NA UHALISIA WAKE https://www.getvalue.co/prod/ndoto_unazoota_na_uhalisia_wake
KUUWEZA WAKATI UJAO https://www.getvalue.co/prod/kuuweza_wakati_ujao
MATTERS OF THE BLOOD https://www.getvalue.co/prod/matters_of_the_blood
SIGNS AND TOKENS https://www.getvalue.co/prod/signs_and_tokens
CHRISTIANS IN THE BUSINESS WORLD https://www.getvalue.co/prod/christian_in_business_world
DEALING WITH ADDICTIONS https://www.getvalue.co/prod/dealing_with_addictions