MAADUI WADOGO WA FEDHA ZAKO
MAADUI WA FEDHA ZAKO.Je,unashangaa mbona unatafuta pesa lakini hazikai mkononi?Kitabu hiki kinafichua tabia na maadui wa siri wanaofuja kipato chako kila siku. Bofya Buy Now Hapo Juu Kulinda Jasho Lako Sasa!
Mara nyingi, umaskini au mtikisiko wa kiuchumi hausababishwa na matumizi makubwa ya ghafla, bali husababishwa na vitu vidogo vidogo tunavyovipuuza kila siku. Hawa ndio
“maadui wadogo\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\" wanaovujisha mifuko yetu bila sisi kujua.
Katika kitabu hiki, Mkufunzi wa elimu ya fedha, Aisha M. Mtipa, anaandika wazi tabia 12 hatari za kifedha ambazo zimekuwa zikizuia mafanikio yako kwa siri. Utajifunza jinsi ya Kuwatambua maadui hawa, kuwakabili, na kujenga ukuta imara wa kulinda kipato chako.