Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Maisha Sahihi Ya Kuishi Kabla Ya Kustaafu Ili Uwe Na Furaha Sasa Na Uzeeni - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MAISHA SAHIHI YA KUISHI KABLA YA KUSTAAFU ILI UWE NA FURAHA SASA NA UZEENI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 18, 2023
Product Views:
1,875
In category:
Sample

MAISHA SAHIHI YA KUISHI KABLA YA KUSTAAFU ILI UWE NA FURAHA SASA NA UZEENI

Kitabu cha MAISHA SAHIHI YA KUISHI KABLA YA KUSTAAFU ILI UWE NA FURAHA SASA NA UZEENI ni kitabu kitakachokupa mambo yafuatayo;


1.Namna nzuri ya kuishi ili uweze kufika kwenye Malengo yako ndani ya Ajira


2.Namna gani unaweza kutumia Mshahara kama mbegu ya kukufikisha kwenye uzee wa kitajiri bila kuwaza kiinua mgongo.


3.Namna ya kujenga Nidhamu Binafsi ya fedha ukiwa ndani ya Ajira.


4.Aina za Uwekezaji ukiwa ndani ya Ajira.


5.Makosa Yanayofanywa na watu kabla ya kustaafu kwenye Ajira.


6.Maisha sahihi ya kuishi ili uweze kufika kwenye Ndoto yako.


Baada ya kusoma kitabu hiki ningefurahi sana kupata mrejesho wako kupitia namba za simu hapa Chini.

0765625055

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold