
Malengo BluePrint
Tengeneza Maono Yako. Jenga Kesho Yako...
Je, Umechoka Kuweka Malengo Ambayo Unashindwa Kuyazingatia Na Kuyatimiza!?...
Malengo BluePrint ni mwongozo wako mkuu wa kugeuza matamanio, maono kuwa\r\nmafanikio, tena kwa urahisi na ufanisi. Kitabu hiki kitakupitisha hatua kwa hatua na kukupa mfumo rahisi, endelevu na wa wazi utakaokusaidia kuweka, kufuatilia, kujipima na kutekeleza malengo yako hadi kufikia mafanikio tarajiwa.
Iwe unajitahidi kwa ukuaji wa kibinafsi, uchumi na uwekezaji, mafanikio ya kazi,\r\nau mabadiliko makubwa yoyote katika maisha yako. Malengo BluePrint itakupa hatua hatua za vitendo, kukusaidia kufafanua matamanio, maono yako, kuwa na FOCUS na kujenga kasi isiyozuilika mara zote.
Ndani ya Kitabu hiki utagundua na kutumia
- Njia zilizothibitishwa wakati wa kuweka na kutimiza malengo yako
- Nyenzo (Tool) ya kutumia kukabiliana na kughairisha na kutokujiamini katika kufuatilia malengo yako.
- Njia ya kufuatilia na kuyapima malengo yako kiurahisi zaidi ili kuwa na ufanisi muda wote.
- Njia inayofanya kazi kwa kila lengo utakalopanga, liwe dogo, la kati au kubwa.
- Makosa 10 ya kuepuka kila mara unapoweka malengo yako.
Acha kuota na uanze kufanya. Ukiwa na MALENGO BLUEPRINT,\r\nutapata mawazo na mbinu zilizothibitishwa za kuunda mabadiliko ya kudumu na kubuni maisha\r\nunayopenda kweli kweli muda wote.
Anza safari sasa na utimize malengo yako kwa urahisi na ufanisi...
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza