
Malengo MasterClass
Kama Unahitaji Kuongeza Ufanisi Wa Malengo Yako, Basi Kozi Hii Ni Maalumu Kwako...
Je, Umechoka Kuweka Malengo Ambayo Unashindwa Kuyazingatia Na Kuyatimiza!?...
Malengo MasterClass Ni Course ambayo imeandaliwa kukurahisishia na kukuonesha jinsi unavyoweza kupanga, kufuatilia, kujipima, kusherekea na kutimiza malengo yako kwa urahisi na ufanisi.
Kupitia MasterClass hii, hakika utaenda kuongeza ufanisi na kubakia kwenye viwango vya juu sana huku ukifuahia kila lengo na eneo lake unaloliwekeza.
Iwe unajitahidi kwa ukuaji wa kibinafsi, uchumi na uwekezaji, mafanikio ya kazi, au mabadiliko makubwa yoyote katika maisha yako. Malengo MasterClass itakupa hatua hatua za vitendo, kukusaidia kufafanua matamanio, maono yako, kuwa na FOCUS na kujenga kasi isiyozuilika mara zote.
Ndani ya MasterClass hii utagundua na kutumia
- Njia zilizothibitishwa wakati wa kuweka na kutimiza malengo yako
- Nyenzo (Tool) ya kutumia kukabiliana na kughairisha na kutokujiamini katika kufuatilia malengo yako.
- Njia ya kufuatilia na kuyapima malengo yako kiurahisi zaidi ili kuwa na ufanisi muda wote.
- Njia inayofanya kazi kwa kila lengo utakalopanga, liwe dogo, la kati au kubwa.
- Makosa 10 ya kuepuka kila mara unapoweka malengo yako.
- Jinsi ya kuondoka kwenye negative comoft zone yako ili ustawi na kubakia viwango vya juu muda wote unapoweka malengo yako
Acha kuota na uanze kufanya.
Unasubiria nini kubadilisha maisha yako!?...
Anza safari sasa na utimize malengo yako kwa urahisi na ufanisi kupitia Malengo MasterClass...