Mduara Wa Umaskini
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 28, 2022
Product Views:
2,999
Sample
Mduara Wa Umaskini ni kitabu ambacho kinaelezea ni sababu zipi zinazofanya watu wanazaliwa maskini na kufa maskini.
Baada ya kusoma kitabu cha Mduara Wa Umaskini utaweza kujibu maswali matatu ambayo yanawafanya watu wengi sana kuendelea kuwa kwenye mduara wa umaskini vizazi na vizazi;
1. Kwanini watu wanapata pesa lakini bado wanakufa maskini na kuziacha familia zao kwenye umaskini wa kupindukia?
2. Kwanini watu wanasoma, wanaajiriwa, wanapokea pensheni lakini mwisho wa siku wanarudi kwenye umaskini?
3. Kwanini wazazi wanajitoa na kujinyima ili watoto wao wafanikiwe na kuiokoa familia, lakini na bado hata watoto na wenyewe wanaendelea kufanya kama walivyofanya wazazi wao?