
MTEGO WA MAPENZI, MAHUSIANO NA NDOA
Kitabu cha MTEGO WA MAPENZI NA MAHUSIANO YA NDOA kimeandaliwa kwa madhumuni ya kuokoa mahusiano ya mapenzi na ndoa za watu. Mtunzi wa kitabu hiki ndugu Juma Mazengo Malale ameguswa na changamoto zinazowakabili wapenzi na wanandoa juu ya mahusiano waliyonayo.Ni ukweli usiopingika kuwa mapenzi na mahusiano ya ndoa yameleta migogoro mingi, vifo, visasi na mauaji ndani ya jamii na kupelekea uwepo wa familia ya mzazi mmoja na udunifu wa maisha kwa ujumla. Kitabu hiki kinazungumzia mambo mengi mazuri yenye kumuelimisha, kumfariji, kumjenga, kumuimarisha msomaji na kujua zaidi nini dhana ya mapenzi ya mahusiano na ndoa. Msomaji kitamsaidia kujiandaa vyema na ndoa bora yenye maisha yaliyonafuraha pindi atakapojifunza mambo yaliyomo ndani ya kitabu. Mwandishi ameelezea mambo mengi sana kwa ustadi wa hali ya juu huku akitumia mifano hai iliyomo ndani ya jamii inayotuzunguka kama mapenzi yenyewe, uchumba, ndoa, usaliti, migogoro ndani ya ndoa na mengine mengi yenye kumuonyesha njia sahihi ya kuelekea ujenzi wa ndoa bora. Hivyo mwandishi anawakaribisha kujipatia na kusoma kitabu hiki kizuri ambacho ni mkombozi wa mapito ya maisha ya mahusiano, mapenzi na ndoa. Ukipata hiki kitabu hakika hutohangaishwa Tena na ulimwengu wa mapenzi kwa sababu kimeelezea vema mbinu za kukabiliana na mitego unayokumbana nayo kwenye wigo wa mahusiano, mapenzi na ndoa.
Kitabu cha MTEGO WA MAPENZI NA MAHUSIANO YA NDOA kimeandaliwa kwa madhumuni ya kuokoa mahusiano ya mapenzi na ndoa za watu. Mtunzi wa kitabu hiki ndugu Juma Mazengo Malale ameguswa na changamoto zinazowakabili wapenzi na wanandoa juu ya mahusiano waliyonayo.
Ni ukweli usiopingika kuwa mapenzi na mahusiano ya ndoa yameleta migogoro mingi, vifo, visasi na mauaji ndani ya jamii na kupelekea uwepo wa familia ya mzazi mmoja na udunifu wa maisha kwa ujumla.
Kitabu hiki kinazungumzia mambo mengi mazuri yenye kumuelimisha, kumfariji, kumjenga, kumuimarisha msomaji na kujua zaidi nini dhana ya mapenzi ya mahusiano na ndoa. Msomaji kitamsaidia kujiandaa vyema na ndoa bora yenye maisha yaliyonafuraha pindi atakapojifunza mambo yaliyomo ndani ya kitabu.
Mwandishi ameelezea mambo mengi sana kwa ustadi wa hali ya juu huku akitumia mifano hai iliyomo ndani ya jamii inayotuzunguka kama mapenzi yenyewe, uchumba, ndoa, usaliti, migogoro ndani ya ndoa na mengine mengi yenye kumuonyesha njia sahihi ya kuelekea ujenzi wa ndoa bora.
Hivyo mwandishi anawakaribisha kujipatia na kusoma kitabu hiki kizuri ambacho ni mkombozi wa mapito ya maisha ya mahusiano, mapenzi na ndoa. Ukipata hiki kitabu hakika hutohangaishwa Tena na ulimwengu wa mapenzi kwa sababu kimeelezea vema mbinu za kukabiliana na mitego unayokumbana nayo kwenye wigo wa mahusiano, mapenzi na ndoa.