Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nidhamu Binafsi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NIDHAMU BINAFSI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 06, 2023
Product Views:
583
In category:
Sample

Jinsi Unavyoweza Kuwa Na Utulivu, Kuzikabili Changamoto, Kuwa Na Maisha Ya Mafanikio Na Ya Furaha

Kwa nidhamu binafsi, chochote kinawezekana. Huu ni ukweli wenye kutia moyo sana kwamba kama una nidhamu binafsi, unaweza kufanya chochote.  

Utatimiza malengo yako kama una nidhamu binafsi. Kinyume chake ni kuwa, kama huna nidhamu binafsi, hutaweza kutimiza malengo. Matokeo yake, utaishia kuhangaika tu na kupoteza muda.

Utayashinda magumu na changamoto kama utakuwa na nidhamu binafsi. Kama huna, hutaweza kuzing’amua changamoto.

Ukiwa na nidhamu binafsi, unaweza kujidhibiti, kujitawala na kujiongoza vyema. Hivyo basi, utafanya maamuzi sahihi.

Nidhamu binafsi huboresha afya zetu na mahusiano yetu.

Nidhamu binafsi ni nguzo kuu ya mafanikio makubwa ya mtu. Ni kupitia nidhamu binafsi, msingi wa maisha ya mtu unakuwa imara.  

Nidhamu binafsi ni ufunguo wa ajabu unaoweza kufungua milango yote kwa ajili yako na kufanya kila kitu kuwezekana.

Mtu wa kawaida kabisa anaweza kuinuka na kufika mbali sana kimafanikio iwapo atakuwa na nidhamu binafsi.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold