TAMBUA MAPITO YAKO
Price:
6,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 18, 2021
Product Views:
3,303
Sample
TAMBUA KUSUDI LA MUNGU JUU YAKO
Mpendwa
msomaji, vipaumbele muhimu katika kitabu hiki ni kama ifuatavyo;
Ø Mtegemee
Mungu kwa kila hali na kwa kila jambo pasipo manung’uniko.
Ø Tambua
Kwamba Mungu hukupitisha katika mapito
ili kukuimarisha kiroho, kukujengea Imani na kukutengenezea njia iliyo sahihi
katika Uzima wa milele
Ø Hakuna
kitu katika maisha yako ambacho kinaweza kutokea bila Mungu kujua wala
kujihusisha nacho.
Ø Tambua
sababu ambazo Mungu huruhusu mapito juu yako.
Ø Jitahidi
kutengeneza marafiki wengi badala ya maadui.
Ø Imani
ni msingi mkubwa katika maisha yako