Uhalali Na Uharamu Wa Biashara Ya Udalali Wa Bidhaa
Jifunze namna ya kufanya biashara ya udalali kihalali Kwa mujibu wa usilamu
Jiulize
Je, unaruhusiwa kuuza bidhaa ambayo hujakimiliki?
Je, Uislamu unasemaje kuhusu mauzo ya kitu ambacho hakipo mikononi mwako?
Je, ni lini udalali unakuwa halali na ni lini unakuwa haramu?
Je, dalali anaweza kuuza kwa niaba bila kuwa mmiliki wa bidhaa?
Je, Mtume alikataza nini kuhusu biashara ya hila na udanganyifu?
Je, ni masharti gani ya msingi ya kufanya biashara ya udalali kwa uhalali?
Je, ni tofauti gani kati ya wakala halali na kuuza bila umiliki?
Je, ni hatari gani za kibiashara na kidini za kuuza bila kufuata taratibu sahihi?
Je, ni wakati gani pre-order inaruhusiwa kisheria?
Je, unajua namna ya kujilinda na biashara isiyo na baraka?
Maswali haya yote yana majibu ya kina, yenye mifano halisi ya maisha ya biashara ya kila siku.
KARIBU USOME KITABU HIKI
Kitabu hiki kitakujibu maswali yote haya kwa uwazi, mifano ya uhalisia na mwongozo sahihi wa kuepuka uwinga uliokatazwa na kufanya biashara ya udalali iliyo halali na yenye baraka.