MAUZO MTANDAONI
Jifunze dhana na aina za digital marketing Namna ya kutengeneza content sahihi Jifunze namna ya kutumia content kukua na kuuza Mtandaoni
MAUZO MTANDAONI
Jifunze siri za kuuza kwa mafanikio kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidigitali. Kitabu hiki kinakufundisha Digital Marketing, aina zake, mbinu za kutengeneza content inayovutia wateja, namna ya kuongeza mauzo, kujenga brand yako, na kutumia Facebook, Instagram, TikTok, WhatsApp pamoja na platform nyingine kukuza biashara yako.
Ukisoma kitabu hiki utajifunza jinsi ya kugeuza followers kuwa wateja, kuongeza uaminifu wa biashara yako, na kuuza zaidi kila siku kwa njia za kisasa.
Kama unafanya biashara au unataka kuanza biashara mtandaoni, hiki ni kitabu sahihi kwako.