
Simulizi hii inamuhusu Tumaini msichana ambaye alizaliwa na ulemavu wa akili. Wazazi wake waliona aibu kumpeleka skuli, walikua wakimfungia nyumbani.rnrnBaraka ambaye ni kaka yake Tumaini alivunja ukimya, alipigana kufa na kupona ili kuhakikisha ndugu yake anapata elimu.
Simulizi hii inamuhusu Tumaini msichana ambaye alizaliwa na ulemavu wa akili. Wazazi wake waliona aibu kumpeleka skuli, walikua wakimfungia nyumbani.
Baraka ambaye ni kaka yake Tumaini alivunja ukimya, alipigana kufa na kupona ili kuhakikisha ndugu yake anapata elimu.