Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Bima Ya Penzi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

BIMA YA PENZI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
9,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 21, 2024
Product Views:
341
In category:
Sample

BIMA YA PENZI - RIWAYA BORA YA KARNE

Kuhusu kitabu

Ukosefu wa mawasiliano ya kina baina ya Gaudensi, bilionea kijana kutoka Arusha na Bi. Lusia, mtaalamu wa afya ya akili binti kutoka familia ya uwezo wa kati, unapelekea kuvunjika kwa uhusiano wao na Lucia kutoweka akiwa mjamzito, huku akibeba hazina ya mali zote za mume na wakweze.

Ukata na upweke haumuachi mume salama, kwani anapitia yasiyosimulika, mwishowe wawili hawa wanakutana kimuijiza kwani hakuna aliyegemea.

***

Swali linalotawala riwaya hii ni Je, Gaudensi na Lusia watapata njia ya kurekebisha uhusiano wao uliovunjika na kuziunganisha familia zao ambazo tayari zilijaa chuki? 

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold