Hapo zamani za kale, palitokea Panzi na Kunguru, ambao walikuwa ni maadui wakubwa. Uadui wao ulikuwa ni kwa sababu ya Kunguru kuwalaghai Panzi na kuwafanya waishi maisha ya tabu. Kunguru waliwazidi maarifa Panzi, mpaka leo Panzi wanajutia maamuzi yao.

Sold by: Godfrey Ngaleya
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza