Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ulimi Wa Dhahabu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Ulimi Wa Dhahabu

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 25, 2022
Product Views:
1,237
In category:
Sample

Ulimi Wa Dhahabu

Ulimi ni silaha nzito na kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani inayomilikiwa na mwanadamu. Mwezi Julai mwaka 1945 dunia ilishuhudia moja ya matukio mabaya zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya dunia. Ulimi ulifanya kazi yake na kusababisha kulipuliwa kwa mji wa Hiroshima. Kinywa cha waziri mkuu wa Japan Bwana Suzuki kiliponena neno 'MOKUSATSU' na kupokelewa kwa mtazamo tofauti na Marekani, basi mamilioni ya watu wakaondoka duniani, wengine wakapata vilema na wengine wakakosa makazi. Ulimi wa mwanadamu hujenga kilicho chema zaidi na hufanya uharibifu ulio mbaya zaidi. Suala ni namna ya kuutumia Ulimi wako. Ulimi wa mama wa kambo wa Napoleon Hill ulimfanya Napoleon asahau historia yake mbaya ya uhuni, wizi, uvutaji madawa ya kulevya, ugomvi na uasherati na kumleta duniani Napoleon Hill mwandishi mashuhuri ambaye dunia inajivunia leo. Kutokufahamu nguvu iliyomo katika ulimi wako na namna ya kuitumia ili upate unachokitaka ni kujiandaa kupata usichokitaka. Kitabu hiki ni kila kitu ulichokuwa unahitaji kwenye eneo la kuelewa nguvu ya ajabu uliyonayo katika ulimi wako na namna ya kuitumia ili ikupe matokeo makubwa kwako mwenyewe au kwa mwanao, ndugu, jamaa na jamii kwa ujumla. Naamini utakuwa ni mpya sana pale utakapohitimisha kusoma kurasa za kitabu hiki. Kila la kheri. Kwa mrejesho; +255(0)769 884 844 Email: hojamwalimu@gmail.com

More Products On Discount
5,000 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

5,000 Tsh. 3,000 Tsh.
(1)

Sold by: Stan Luwanda

5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

98,000 Tsh. 60,000 Tsh.

Sold by: Prophet Pd John

Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold