UNAWEZA INUKA TENA
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 22, 2020
Product Views:
2,585
Sample
Ukitoa Chozi haina maana umefika ukomo wa kupiga hatua, bali ni mwanzo wa tumaini jipya na kuondoa uchungu.
Mara kadhaa tumepitia changamoto mbalimbali katika maisha, tumeanguka tumelia na kuumizwa na pengine na wale tuliowapenda.
Lakini sasa imefika mahali tufute machozi tusonge mbele penye nuru ya mafanikio.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuzingatia miongozo ya kiroho na kisaikolojia, itakayokuwezesha kuinuka (Recovery) haraka.
Unajua inawezekana unatafuta tumaini na haujalipata kitabu hiki ni suluhisho.