• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Chaki: Jinsi Ya Kutengeneza Chaki - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

CHAKI: JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Apr 08, 2021
In category:
Sample

Whatsapp 0754745798 / 0659908078

MRADI WA KUTENGENEZA CHAKI

Utengenezaji wa chaki ni moja ya mradi wa siri sana ambao ni mgodi unaweza kukupatia faida kubwa sana na ukasahau shida zote ulizowahi kupata katika maisha yako.

Kutokana na mradi huu ambao unafanyika kwa gharama za chini sana kutojulikana na watu wengi hapa Tanzania imekuwa ni mradi mzuri sana kuliko biashara yoyote ile hapa Tanzania kwa sababu

miradi mingi mikubwa inahitaji mtaji mkubwa sana.

Mradi wa kutengeneza chaki ni mradi ambao unaweza ukaufanya kwa kutumia mtaji mdogo sana hapa Tanzania kuliko biashara yoyote ile unayoifikiria kuifanya.

<img

Other products from this category