• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Sitageuka Nyuma Kamwe - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

SITAGEUKA NYUMA KAMWE

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jan 28, 2021
In category:
Sample

Mabadiliko chanya huanza na wewe. Na ukishaamua kubadilika kamwe usigeuke nyuma.

Katika Kitabu Hiki Utajifunza Maarifa Muhimu ya Kukuwezesha kusonga mbele pale unapokutana na magumu katika maamuzi yako ya kufanya mabadiliko chanya.

Mwandishi ameeleza kwa undani hatua kwa hatua jinsi ya kutimiza adhima yako ya kufanya mabadiliko chanya kwa ushindi zaidi ili kuwa huru kiuchumi, kiroho na kifikra.

Other products from this category