• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ufuasi Agizo Kuu La Yesu Kristo - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

UFUASI AGIZO KUU LA YESU KRISTO

Ratings

Price:
12,500 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Sep 23, 2020
In category:
Sample

Kanisa lipo kwaajili ya jambo kuu mojatu, nalo ni kuwavuta watu kwa Kristo, na kuwafanya wafanane naye, kama halifanyi hivyo basi linapoteza muda. Ufuasi ndio agizo na kusudi kuu la Kanisa, bila wafuasi hakuna kanisa. Leo katika makanisa yetu tumejaza waamini wengi na sio wafuasi. Changamoto kubwa ya Kanisa ni kuwafanya watu wanaokuja kumfuata Kristo kufikia viwango vya kuwa wafuasi wa Yesu.

UFUASI :AGIZO KUU LA YESU KRISTO KWA KANISA,

NI KITABU  BORA  KWA KILA MTUMISHI ALIYE KATIKA HUDUMA. KIMEFUNDISHA KUHUSU UFUASI KWA NAMNA YA  KIPEKEE KABISA.

Other products from this category