Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Upweke - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA UPWEKE

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
Product Views:
1,829
In category:
Sample

Watu wote kwa wakati fulani tumewahi kujisikia wapweke. Haiwezekana kumpata mtu ambaye wakati wote amejisikia kueleweka na kutosheka kikamilifu. Upweke ni hisia ya kuachwa pekee yako. Unaweza kuwa kanisani, katika mahusiano ya ndoa, katikati ya kundi la watu na bado ukawa ni mpweke. Upweke linaweza kuwa ni somo lenye kuabisha ambalo hatutaki kulizungumzia au kulikubali. Bado kwa kiasi fulani sote tuna uzoefu nalo, kwa sababu upweke ni matokeo yasiyokwepeka ya anguko la mwanadamu. Upweke hujidhihirisha kama kuugua ndani ya moyo, utupu au kunatamani upendo. Madhara yake ni mambo kama kujihisi kutokuwa na maana na kutokuwa na kusudi lolote maishani. Ishara nyingine mbaya ya upweke ni majonzi na huzuni nzito. Je, Wewe ni mpweke? uko peke yako? Umeachwa?, umetupiliwa mbali ? una huzuni na uzito rohoni kwa kukosa watu wa kukaa nao? Basi mkononi mwako unacho kitabu ambacho kitakusaidia na kukuponya nafsi yako.

YALIYOMO

Ukurasa

• Kutabaruku.....................................

•Shukurani..........................................

•Utangulizi................................ ….…

 

1.         Hisia za upweke

2.         Aina tofauti za upweke

3.         Chanzo na sababu za upweke

4.         Athari za upweke

5.         Ufahamu kuhusu upweke

6.         Kuponywa na kuwekwa huru dhidi ya upweke

7.         Vitabu vya rejea

8.         Kuhusu mwandishi

 

More Products On Discount
10,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 2,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

10,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

15,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Denis Jonas Msangi

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
100,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(43.4)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

5,000 Tsh.

Sold by: Counselor David

Old is Gold
10,000 Tsh.

Sold by: William Kahindi

20,000 Tsh.

Sold by: ISAAC JULIUS

1,000 Tsh.

Sold by: Lameck Hulilo

4,999 Tsh.

Sold by: Rodrick Nabe

10,000 Tsh.

Sold by: Joas Yunus