Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Gharama Za Uongozi2 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

GHARAMA ZA UONGOZI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 16, 2021
Product Views:
3,236
In category:
Sample

Ukiwa kiongozi kuna bei na gharama za kulipa. Haijalishi wewe ni kiongozi wa kiroho, wa kisiasa, wa kibiashara, au kifamilia gharama za kulipa hazikwepeki. Haijalishi unaongoza taasisi au kampuni, uwe unaongoza watu wengi au wachache bado gharama za uongozi zipo. Kila kitu kinakuja na gharama! Inaweza kuwa ni gharama ya muda, fedha, nguvu, hisia, usingizi, n.k. Huwezi kuwa kiongozi pasipo kulipa gharama. Viongozi wote wakuu katika Biblia kuanzia Musa mpaka Paulo walilipa gharama katika uongozi wao. Mafanikio hayawezi kupunguzwa bei, ukitaka mafanikio katika eneo lolote lazima ulipie gharama husika. Watu wengi tunataka nafasi za uongozi kwa ajili ya kupata heshima na umaarufu, na huwa tunazigombania bila kujua kuwa zipo gharama husika ambazo lazima mtu apitie katika mchakato wa kufanyika kuwa kiongozi. Ni vizuri kuzijua mapema ili kujiandaa kuzilipia pale itakapotakiwa kufanya hivyo. Viongozi wengi hawajui gharama za uongozi, wanaingia katika uongozi bila kuhesabu wala kujua, baadaye gharama zinapoanza kudai kulipwa wanachanganyikiwa.

GHARAMA ZA UONGOZI NI KITABU  BORA CHA UONGOZI AMBACHO KINA MWAANDA KIONGOZI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO MBALIMBLI KATIKA UONGOZI WAKE. KATIKA UONGOZI KUNA GHARAMA MBALIMBALI ZA KUZILIPA, KITABU HIKI KIMECHAMBUA KWA KINA AINA MBALIMBALI ZA GHARAMA AMBAZO KILA KIONGOZI ANAYETAKA KUFANIKIWA NI LAZIMA AWE TAYARI KUZILIPA.

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold