Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ukuaji Wa Kiroho - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

UKUAJI WA KIROHO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 16, 2021
Product Views:
1,540
In category:
Sample

Siku zote maisha ya kiroho yako katika mwendo na sio katika kusimama na kutulia. Ni ama tunakua na kuongezeka kiroho ama tunarudi nyuma na kufa kiroho. Kukua kiroho ni kwa msingi kwa kila mwamini, kama vile kukua kimwili kulivyo kwa msingi kwa maisha ya mtu yeyote. Mungu ameamuru Wakristo tukue. Wengi wetu tunataka kukua na kukomaa, wengi tunataka kuwa kama Kristo, lakini hatujui namna ya kuanza. Ninaamini kwamba moja ya somo muhimu sana kwa mwamini katika kujifunza Neno la Mungu ni pamoja na somo la ukuaji wa maisha ya kiroho.

 UKUAJI WA KIROHO NI SOMO MUHIMU KATIKA MAISHA YA MKRISTO. KITABU HIKI KITAKUFUNDISHA MAMBO MUHIMU KUHUSU UKUAJI WA KIROHO NA VILE UNAVYOWEZA KUKUA KIROHO.

More Products On Discount
11,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Said Maumba

5,000 Tsh. 4,000 Tsh.
(1)

Sold by: Peter Fabian

25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Yuris Dutch

2,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: ELIAS MBUJILO JOSEPH

4,999 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
200 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Old is Gold