PACKAGE 2024 : MAMBO 10 YA KUFANYA ILI UTIMIZE MALENGO YAKO MWAKA HUU
MAMBO 10 YA KUFANYA ILI UTIMIZE MALENGO YAKO MWAKA HUU
Ndani ya kitabu hiki utajifunza juu ya:
1. Siri inayotumiwa na asilimia 8 ya watu wanaotimiza malengo yako kila mwaka kutimiza malengo yao.
2. Namna ya kukabiliana na tabia ya kughairisha mambo.
Hapa utakwenda kujifunza mbinu zaidi ya 7 zitakazokusaidia uishinde tabia ya kughairisha mambo.
3. Namna unavyoweza kuwa bora kwenye kitu unachokifanya.
Hapa utakwenda kujifunza mbinu 6 zinazotumiwa na watu bora zaidi duniani kuwa bora.
4. Njia (4) za kujifunza kiurahisi zaidi na kuwa bora kuliko wengine.
5. Kanuni saba (7) za kuwa na furaha kila siku
6. Na mambo mengine mengi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza