Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Wewe Ni Bidhaa Ya Mungu1 - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

WEWE NI BIDHAA YA MUNGU

0.2
1
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 22, 2020
Product Views:
672
In category:
Sample

Tambua ulichoumbiwa, kiishi, mafanikio yatakufuata.

Bidhaa yoyote ile hutengenezwa kwa lengo mama la kwenda kutawala soko na kutoa suluhisho la matatizo yanayowakabili watu. Na hii ndio kiu na furaha ya mtengenezaji wa bidhaa husika.

Hata kwetu binadamu, lengo la kuwepo hapa duniani kama bidhaa ya Mungu ni KULITAWALA SOKO (dunia) na kutatua changamoto mbalimbali kupitia karama na vipawa tulivyopewa na Mungu. Mwenyezi Mungu kama muumba wetu anajisikia furaha kuona tunafanikiwa.

Hivyo kitabu hiki cha "WEWE NI BIDHAA YA MUNGU" ni maalumu kwa ajili yako wewe uliye na kiu ya kulitawala soko kupitia karama na vipawa ulivyopewa na mwenyezi Mungu.

Ukweli ni kwamba hautaishi duniani milele, ila unayo nafasi ya kufanya jambo litakaloishi milele kwa niaba yako pale utakapokuwa umeondoka duniani.

More Products On Discount
11,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Said Maumba

25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

5,000 Tsh. 4,000 Tsh.
(1)

Sold by: Peter Fabian

Best Sellers List
Best Seller
200 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold