BILA MABADILIKO BINAFSI UMILIONEA UNAOUTAKA NI NDOTO
YAFAHAMU MAMBO AMBAYO NILIYAFANYA NYUMA NA LEO NAYAJUTIA NAWEWE JIHADHARI YATAKUPOTOSHA PIA.
BILA MABADILIKO BINAFSI UMILIONEA UNAOUTAKA NI NDOTO.
KITABU HIKI KINAAINISHA MAMBO AMBAYO NILIKUWA NINAYAFANYA TOKA UJANA HADI SASA NA NINAYAJUTIA LEO KWA VILE YAMENICHELEWESHA KUWA MILIONEA, KAMA UKIWA KAMA WATU WA KAWAIDA AMBAO WANAFANYA MAMBO YA KIHASARA HASARA TU HATA WEWE UTASHINDWA KUFANIKIWA.
YAPO MAMBO AMBAYO UNAYAFANYA KIMAZOEA NA LEO HII UTAKUJA KUJUTA.
HEBU ANGALIA UNAYOYAFANYA KAMA YANALINGANA NA HAYA AMBAYO NILIKUWA NINAYAFANYA NA MWISHO NIKAAMINI KUWA MIMI WA KAWAIDA NA MASKINI.
UKIJIFUNZA YALIYOANDIKWA HUMU UTABOREKA SANA NA KUFANYA VIZURI MAISHANI.
JE UNAJIDHARAU, ACHA HAYO ANZA KUJIFUNZA USINGOJE KUJILAUMU NA KUJUTIA.