HEKIMA YA MUNGU KWA NJIA YA MIFANO
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 24, 2024
Product Views:
273
Sample
Toleo la tatu
HEKIMA YA MUNGU KWA NJIA YA MIFANO - TOLEO LA TATU
Miongoni mwa siri utakazozigundua kupitia kitabu hiki ni pamoja hizi:
- Sababu za watu wengi kanisani kuwa vuguvugu.
- Hata sasa akina Sauli wapo, na akina Daudi wapo!
- Kanisa likikosa nguvu za Mungu hata wachawi watateuliwa kuwa viongozi!
- Tangu siku za Yohana hata sasa, Mungu huonekana kwa wanaomtafuta kwa bidii, asipodhihirika kwako haina maana kuwa nguvu zake zimepungua!
- Sauti ya matendo hupaa sana kuzidi sauti ya maneno.
- Kipawa chako chaweza kukuinua, lakini dhambi itakuporomosha chini na kukuaibisha!
- Hakuna fedha itoshayo kununua mtu, lakini watu hujiuza kwa shetani kwa gharama ndogo sana!
- Wakristo wengi wa leo wakiibiwa mtoto aliye hai na kupewa aliyekufa wanakubali!
- Wakristo wengi wametiwa unajisi kwa sababu ya ulafi!
- Wapo marehemu wengi ambao bado ni viongozi wa Kanisa, wanaendelea kuongoza kwa kuwa hawajaanza kunuka!
KARIBU SANA.