Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jitambue Kisaikolojia - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

JITAMBUE KISAIKOLOJIA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 02, 2022
Product Views:
2,223
In category:
Sample

Kwa asili kila mtu ni mwanasaikolojia. Tumeumbwa kuwa viumbe vyenye ushirikiano wa kijamii, na kwa sababu hiyo tumekuza kitu ambacho wanasaikolojia wanakiita uelewa au nadharia ya akili. Tu-meumbwa na uwezo wa kubashiri hali za akili ya mtu mwingine mfano kuweza kusoma mawazo, hisia, na nia yake.

Katika\r\nkitabu hiki wewe kama mwanasaikolojia ambaye ulikuwa  hujui kuwa unayo taaluma hiyo, utaelewa maana\r\nya Saikolojia    katika ujumla wake,\r\nikiwa ni pamoja na kuelewa maana, aina   mbalimbali\r\nza Saikolojia, mahusiano yaliyopo kati ya Saikolojia na uelewa kuhusu Mungu\r\nyaani Thiolojia, maana kuna mtazamo toka kwa baadhi ya watu kuwa watu waliosoma\r\nSaikolojia wanamkana  Mungu, je kuna ukweli\r\nwowote kuhusiana na mtazamo huo? Hayo yote utayapata toka katika kitabu hiki,\r\nlakini pia utaelewa kuwa saikolojia ilianza lini na mpaka sasa imefikia wapi?

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold