Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kanuni 101 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

KANUNI 101

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 02, 2026
Product Views:
70
In category:
Sample

Kila binadamu mwenye akili timamu anatamani kufanikiwa jambo fulani katika maisha yake, lakini wengi hushindwa kwa sababu hawana mwongozo katika maisha yao. KANUNI 101: Mwongozo wa Mafanikio Katika Maisha ni kitabu kinachotoa mwongozo utakaokusaidia kufikia NDOTO yoyote uliyonayo katika maisha yako. Mwandishi amerejea kazi za wataalamu wa fani mbalimbali ili kukusaidia wewe kuwa mtu bora na kuweza kutimiza ndoto zako kirahisi. Kanuni zote 101 zimeelezwa kwa lugha rahisi iliyopambwa kwa nukuu zinazoelimisha na kuleta hamasa.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold