Kwa Nini Unaishi?
Mwongozo wa kujitambua kutambua kusudi la maisha na kuyafikia Malengo Yako
KWA NINI UNAISHI?
Umewahi kujiuliza swali hili kwa kina?
Kwa nini upo duniani?
rnKusudi lako ni nini?
rnUnaelekea wapi katika maisha?
rnNa unafanya nini leo ili kufikia malengo yako?
“Kwa Nini Unaishi?” ni mwongozo unaokusaidia kujifahamu, kutambua kusudi la maisha na kuyafikia malengo yako.
Kitabu hiki ni kwa mtu anayetamani: Kujitambua zaidi
Kugundua kusudi la maisha yake
Kuweka malengo yenye mwelekeo
Kuacha tabia zinazomrudisha nyuma
Kujenga maisha yenye maana na mafanikio
Usiishi tu kwa sababu unaishi. Jifahamu, tambua kusudi lako na anza kulifanyia kazi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza