Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mafunzo Ya Forex - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

MAFUNZO YA FOREX

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
60,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 20, 2025
Product Views:
33
In category:
Sample

Je unataka kujua Forex ni nini au umekuwa ukisikia neno Forex lakini hujui ni kitu gani na watu wanafanyaje biashara hii.?

1. *Kimejengwa kwa Lugha Rahisi ya Kiswahili

Hata mtu asiye na elimu ya kiingereza anaweza kuelewa kila somo kwa urahisi.

Kinaeleza maneno magumu kama Order Block, Liquidity, FVG, nk kwa mifano rahisi ya maisha ya kawaida.

2. *Kinafundisha Misingi Imara Kabisa

Kuanzia maana ya Forex, tofauti na biashara nyingine, hadi kuelewa candlestick patterns, market structure, na aina za lot.

Kila hatua imeelezwa kwa mpangilio mzuri wa kufuatilia bila kuchanganyikiwa.

3. Kinafundisha Mbinu za Kitaalamu (Pro Strategies* )

Kinaelezea kwa undani mbinu kama ICT (Inner Circle Trader) na SMC (Smart Money Concepts) ambazo hutumiwa na traders wa hali ya juu.

Maelezo ya Order Blocks, Fair Value Gaps, Break of Structure, Liquidity Zones n.k. yameandikwa kwa ufasaha.

4. Kinaelekeza Hatua kwa Hatua jinsi ya Kuingia kwenye Trade

Kwa mfano, jinsi ya kutumia SMC + ICT kufanya scalping, timeframe gani kutumia, na jinsi ya kutafuta entry point salama.

Kinafundisha risk management, psychology ya trading, na timeframes bora za kutrade.

 *5. Bonus ya Fibonacci Strategy

Kimeongeza somo la Fibonacci Retracement na jinsi ya kuchora viwango vya reversal – hii ni silaha ya ziada kwa pro-level confirmation.


 *Kwa Nini Kinafaa kwa Beginner* ?

Kinaanza na msingi, kisha kinaenda kwa kina.

Kina mchanganyiko wa elimu ya msingi + advance.

Kinaelekeza kwa mifano ya “real market situations.”

Kinaweza kutumika kama "kitabu cha rejea" kila wakati unapo trade.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold