Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nguvu Ya Uwekezaji Kupitia Utt-amis Plc - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NGUVU YA UWEKEZAJI KUPITIA UTT-AMIS PLC

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 19, 2026
Product Views:
55
In category:
Sample

Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa uwekezaji kupitia mifuko ya UTT-AMIS kwa lengo la kujenga uhuru wa kifedha. Kinasisitiza umuhimu wa elimu ya fedha, nidhamu ya matumizi, na kuwekeza katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja ya UTT-AMIS PLC kama mfuko wa Umoja, Wekeza Maisha, Jikimu, Watoto,Ukwasi na Hatifungani, hata kwa kiasi kidogo. Pia, kitabu hiki kinahimiza mwekezaji kuanza mapema kuwekeza, kuweka malengo na kutumia teknolojia ya kidijitali kwa urahisi na usalama wa uwekezaji.

Je, unatamani kujenga utajiri, kusimamia vizuri fedha zako binafsi na kuufikia uhuru wa kifedha? Nguvu ya Uwekezaji Kupitia UTT–AMIS PLC ni kitabu muhimu kitakachokufundisha kwa lugha rahisi namna ya kupanga bajeti, kusimamia fedha na kuwekeza kwa busara kupitia mifuko ya uwekezaji wa pamoja ya UTT–AMIS. Usikubali pesa zako zipite bila mpango; jifunze jinsi ya kutengeneza kipato huku ukiwa umelala na kujenga maisha bora ya kifedha. Tunaalikiwa kukisoma kitabu hiki, kutekeleza kwa vitendo maarifa tutakayoyapata, na kuanza rasmi safari yetu kuelekea uhuru wa kifedha. Elimu ya fedha ni zawadi inayoweza kubadilisha maisha yetu sote.


More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold