
SIYO ELIMU, KIPAJI AU UJUZI PEKEE, UTAKAOKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO MAKUBWA BALI NI PAMOJA NA KUZITUMIA NGUVU ZA NDANI.
INUKA, FAHAMU NAMNA YA KUZITUMIA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKO.
SIYO ELIMU PEKEE AU UJUZI PEKEE UTAKAOKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO MAKUBWA, BALI NI PAMOJA NA KUZITUMIA NGUVU ZAKO ZA NDANI.
INUKA ZIFAHAMU NGUVU HIZO NA NDIYO NYENZO ZAKO KUU ZA KUKUWEZESHA KUWA NA MAFANIKIO KITABU KINALENGA KUKUELEZA KUWA PAMOJA NA ELIMU, KIPAJI AU UTAALAMU WAKO LAKINI WATU WALIO NA VITU HIVYO KATIKA KIWANGO CHA KAWAIDA TU WANAWEZA KUFANIKIWA KATIKA MAMBO MENGI KULIKO WEWE MWENYE ELIMU YA JUU SANA KAMA UNAZITUMIA NGUVU ZAKO ZA NDANI KATIKA KIWANGO KIDOGO.
ZIPO NGUVU ZA NDANI ZIJUE NA ZITUMIE IPASAVYO.
ACHA KABISA KUJIVUNIA ELIMU YAKO TU AU KIPAJI AU UJUZI WAKO TU. JENGA TABIA YA KUWA NTU USIYEKUWA WA KAWAIDA.
TUMIA NGUVU ULIZOJENGEWA NDANI YAKO ZIIMARISHE.
KITABU HIKI NI GOLD MEDAL KWA MAISHA YAKO KINAKUPA SIRI MPYA NA NGUVU MPYA.
MIMI NI SHUHUDA NINATUMIA UWEZO HUO WA NDANI NA NDIYO CHANZO CHA MAFANIKIO YANGU. NDANI YAKO IPO HAZINA ILIYOJAA NA NGUVU TELE, NIMESEMA ZITUMIE NGUGU ZAKO NA UTAONA MAISHA YANAINUKA. ZIMEOROZESHWA ZISOME KWA MAKINI NA ZITUMIE, KITABU KINA STORY ZA KUKUHAMASISHA NA KUKUSISIMUA PIA.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza