Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Wewe Ni Nani 1 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

WEWE NI NANI? 1

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 19, 2022
Product Views:
3,855
In category:
Sample

Katika jitihada ya kutaka kujua yeye ni nani, mchekeshaji maarufu duniani charlie Chaplin aliandaa mashindano ya kumtafuta mtu anayefanana na yeye mwenyewe. Watu wengi walihudhuria katika mashindano hayo na wengi waliingia katika mashindano ili kuusaka ushindi.\r\nCharlie Chaplin akiwa mmoja kati ya washiriki wa mashindano hayo aliingia katika kinyang\'anyiro hicho pia.\r\nCha ajabu bwana Charlie Chaplin alishika nafasi ya nne baada ya watu wengine watatu ambao sio kina Charlie Chaplin.\r\nHebu fikiria watu wana kufahamu wewe kuliko wewe unavyojifahamu.\r\nHujui wewe ni nani na hata yule unayedhani kuwa ndiwe kumbe sio wewe. Unaishi maisha usiyoyajua na hata yale unayoyajua sio sawa na maisha yenyewe yalivyo.\r\nJiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni. Yeyote atakaye anguka juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika na yeyote jiwe hilo likimwangukia litamsaga kabisa. (1) Jiwe hilo ni jiwe gani? (2) Wewe ni nani?\r\nKamwe hauwezi Kufanya kile unapaswa Kufanya mpaka utakapogundua ni kitu gani unatakiwa kukifanya na kwa wakati gani. Kamwe hauwezi kuridhika katika maisha ikiwa hujajua kusudi lako na kuliishi. Kama ikitokea unafanya kitu ambacho hukutakiwa kukifanya hapo ni sawa na kupoteza muda kutafuta furaha mahali ambapo vita imekolea.

Karibu katika duka la Maarifa na Leo nakuletea kitabu Bora Sana!!
Kinaitwa *WEWE NI NANI?*

Kitabu kinahusu
Thamani iliyojificha ndani yako.
Kitabu kitakusaidia kujua
-kwanini ulizaliwa?
-Uliumbwa ili uwe Nani?
-Nini maana ya kusudi?
-Njia mbalimbali za kulitambua Kusudi lako
-Ukiishi nje ya kusudi uliloumbiwa na Mungu kitu Gani kinatokea?

Hayo na mengine mengi ya ajabu ambayo uliumbwa nayo utayafahamu pindi utakaposoma  kitabu hiki, Kitabu kimewasaidia wengi kuwaamsha katika usingizi na kuwapa mwanga wa thamani ambayo Mungu alimpa Mwanadamu.

Karibu Sana!
More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

5,000 Tsh. 2,500 Tsh.

Sold by: Joyce Mwakajonga

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold