• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kibeka - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KIBEKA

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Feb 19, 2021
In category:
Sample

Kwanini umchukie mtoto uliyemzaa mwenyewe? Ana kosa gani?

Utajiuliza inakuwaje hata mtu anaamua kumchukia mtoto aliyemzaa mwenyewe? Kila amwonapo, haishi kumtafutia sababu ya kumcharaza bakora kama si kumpa dhiki ya nafsi kabisa. Anaishi naye nyumba moja afanyaje tu vile HOFU jamii itakavyomchukulia lakini nje ya hapo, anatamani hata afe kwa njia ya asili. Mtoto hafi, anaishi hadi da'ika ya mwisho alipoamua kuuweka wazi ukweli wa mambo na ndipo yanaibuka mengine.

Kibeka! Kitabu kinachoelezea namna mbalimbali za malezi na haki ya mtoto kwa wazazi. Kimetazamia sana katika kuikwamua jamii kutoka katika mikono mikali ya tamaa. Kwani tamaa haijawahi kumpa mtu anachotaka.

Other products from this category