• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mbinu Rahisi Za Kuandika Kitabu - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

MBINU RAHISI ZA KUANDIKA KITABU

Ratings

Price:
3,999 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 11, 2020
In category:
Sample

Kuwa “hakuna anayezaliwa anajua kuandika lakini ni ujuzi ambao kila mtu anaweza kujifunza na kwa kadiri unaendelea kuandika ndivyo mchakato unakuwa rahisi zaidi”. Safari yako ya kuandika kitabu inakuwa rahisi mno isiyo na stress kabisa ukisoma kitabu cha MBINU RAHISI ZA KUANDIKA KITABU.

Kila mtu, ikiwemo wewe, anaweza kuandika kitabu. Kate Grenville anasema kuwa “hakuna anayezaliwa anajua kuandika lakini ni ujuzi ambao kila mtu anaweza kujifunza na kwa kadiri unaendelea kuandika ndivyo mchakato unakuwa rahisi zaidi”.

Safari yako ya kuandika kitabu inakuwa rahisi mno isiyo na stress kabisa ukisoma kitabu cha MBINU RAHISI ZA KUANDIKA KITABU. Kitabu hiki kimesheheni mambo lukuki kama ifuatavyo;

1. My keynote. Kama mwandishi mwenye uzoefu nimezungumza mambo ya msingi katika uandishi ili kukuondolea hofu kuwa wewe unaweza kuandika kitabu. Je! Kila mtu anaweza kuandika kitabu? Jibu ni ndio! Na nimeeleza kwanini.

2. Kwenye uandishi wa vitabu kuna nini?. Nimeandika kuhusu kazi za uandishi, aina za waandishi na falsafa za uandishi. Hapa ndiyo sehemu ya kuanzia ili ujue unapokwenda na mara ujuapo tu kiu yako itatibuka na utaanza kuandika mara moja.

3. Unaanzaje kuandika kitabu? Nimeandika namna unavyoweza kupata wazo anzishi na vitu vya kuamsha mawazo yako (content/story) ya kuandika kitabuni. Si hivyo tu, nimeandika hatua 6 za kuandika kitabu na mbinu zake ambazo utatumia kuandika na mwisho kabisa, nimezungumza uandike wapi kitabu chako.

Other products from this category