Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Uandishi Wa Kitabu Kinachouzika - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

UANDISHI WA KITABU KINACHOUZIKA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
9,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 16, 2022
Product Views:
1,050
In category:
Sample

Mwenye ndoto ya kuandika na kutoa kitabu ni wewe si mtu mwingine, mwenye ndoto ya kuuza nakala nyingi ni wewe na si mtu mwingine, na mwenye ndoto ya kuwa mwandishi aliyefanikiwa ni wewe na si mtu mwingine. Kwenye hatua yoyote uliyoko sasa; iwe kuandika, kutoa ama kuuza kitabu chako, kitabu hiki kitakuwa msaada kwako.

Unapoanza kusoma kitabu hiki unakuwa umeanza safari ya siku\r\n25 za kuwa mwandishi aliyefanikiwa bila stress. Utafanikiwa kutimiza ndoto yako\r\nya kuandika, kutoa na kuuza kitabu chako kwa mafanikio.

Msukumo wangu wa kuandika kitabu hiki ni kukushirikisha\r\nuzoefu wangu kwenye uandishi wa vitabu utakaokusaidia wewe usikwame kwenye\r\nkutimiza ndoto yako. Nimeunganisha uzoefu wangu wa kuandaa kozi za uandishi,\r\nniliyopitia kwenye kutoa vitabu vyangu na ushauri niliotoa kwa watu mbalimbali\r\nwaliokuwa wamekwama hatua walizokuwa kwenye uandishi wa vitabu.

Kwa kifupi, kitabu hiki kinamfaa yeyote anayetaka;

>Kuandika kitabu

>Kutoa kitabu

>Kuuza kitabu

Ninaposema uandishi wa kitabu kinachouzika, naamanisha kuwa uandike\r\nkitabu kitakachofika mkononi mwa msomaji wako na hiyo ndiyo furaha ya mwandishi\r\nyaani kuona msomaji amesoma, amejifunza na kukifurahia kitabu.

Upo tayari kuanza siku 25 za kuwa mwandishi aliyefanikiwa?\r\nUpo tayari kuandika kitabu kitakachofika kwa msomaji wako?

Anza kusoma!

More Products On Discount
10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

98,000 Tsh. 60,000 Tsh.

Sold by: Prophet Pd John

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold