Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Chozi La Kimaskini - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

CHOZI LA KIMASKINI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 18, 2026
Product Views:
13
In category:
Sample

Wanaume wengi waliopata utajiri kabla hawajaoa wameonekana kuwasahau au kuwapuuza sana wake waliohangaika nao kipindi wanatafuta.

Amosi baada ya kujipata kimaisha, anampuuza sana mkewe kwa kutumia muda mwingi na vimada.

anamsahau mke aliyemvumilia wakati wana shida na wanapitia hali ngumu. Mke ambaye alikubali matusi na dharau za marafiki zake,ndugu na jamaa kwa kuolewa na mtu maskini.

Mwanamke aliyepambana usiku na mchana kumfariji mumewe alipokuwa hayuko sawa.

Mke aliyewakataa wenye pesa na maisha mazuri ili tu kumtunzia heshima mumewe.

Je Amosi atapatwa na nini mwishoni? Fuatilia riwaya hii yenye kusisimua.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold