ELIMU YA UWEKEZAJI
Price:
12,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 06, 2024
Product Views:
872
Sample
Kupitia kitabu hiki utajifunza kuhusu dhana ya uwekezaji, maeneo ya kufanya uwekezaji, hatua za kuzingatia ili kuwa na uwekezaji wenye tija, faida za kufanya uwekezaji.
Kitabu hiki kimezungumzia kuhusu dhana ya uwekezaji, ijue elimu ya uwekezaji, mambo ya kufahamu kuhusu uwekezaji, safari ya uwekezaji, maeneo ya uwekezaji, hali ya uwekezaji duniani, uwekezaji katika zama hizi, mifano ya wawekezaji, changamoto za uwekezaji na suluhisho lake.Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza