Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Yenye Mafanikio Makubwa - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

JINSI YA KUANZISHA BIASHARA YENYE MAFANIKIO MAKUBWA

0
1
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 30, 2024
Product Views:
328
In category:
Sample

Moja kati ya Kitabu Bora Cha Biashara na Chenye Mafunzo Mengi Zaidi, Kwa Wakati Mmoja, Yaani Ni Sawa na Kununua Vitabu Tofauti Tofauti Zaidi Ya Kumi na Kuviweka Pamoja

Kitabu chenye muongozo Kamili Wa jinsi ya kuanzisha biashara yenye mafanikio makubwa, Ndani ya kitabu hiki utajifunza vitu vingi sana, kama wewe unataka kufanya biashara kwa ukubwa na hata ambaye unafanya biashara, kitabu kina jumla ya kurasa 327 na ndani yake utajifunza vitu vifuatavyo…

..

1.Mambo 12 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanzisha Biashara

..

2.Mbinu 10 Zilizothibitishwa Za Kupata Wazo Sahihi La Biashara

..

3.Njia 10 za uhakika za kupata mtaji Wa Biashara

..

4.Mambo 10 Muhimu Ya Kuzingatia Wakati Wa Kuchagua Eneo Sahihi la Biashara

..

5.Mbinu Zilizothibitishwa Za Kuweka Akiba Kwaajili ya Mtaji Wa Biashara.

..

6.Namna Sahihi Ya Kugawa Mtaji Kitaalamu Kipindi Cha Kufungua Biashara.

..

7.Jinsi Ya Kujenga Jina La Biashara | Sifa Kuu za Jina La Biashara.

..

8.Muongozo Kamili na Jinsi Ya Kusajili Jina La Biashara

..

9.Namna Sahihi Ya Kuweka na Kutimiza Malengo Ya Biashara . 

..

10.Mchanganuo Wa Biashara 20 Za Kufanya Zenye Matokeo Makubwa; 

(Makadirio Ya Mtaji, Uendeshaji, Mahitaji ,Eneo Sahihi La Biashara, Kupata Wateja, Faida, Changamoto)

..

11.Fursa 20 Za Biashara Za Kufanya Kulingana na Shauku/Mapenzi Uliyonayo.

..

12.Fursa 20 Za Biashara Za Kufanya Kulingana na Taaluma au Ujuzi Fulani .

..

13.Mchanganuo wa Fursa 20 Za Biashara Za Kufanya kwa Wana Chuo.

..

14.Fursa za Biashara 12 Za Kufanya Kwa Kina Mama Wa Nyumbani

..

15.Fursa Zingine 60 Za Biashara Za kufanya Kwa Mtaji Mdogo na Mkubwa.

..

16.Aina 12 Za Wateja na Mbinu Sahihi Za Kuuza Kwa Kila Aina Ya Mteja.

..

17.Siri 10 Za Kuongeza Mauzo Mara 10 Kwenye Biashara Yako

..

18.Siri 35 Za Uhakika Za Kunasa Wateja na Kuwafanya Waendelee kununua Kwako.

..

19.Siri 10 Za Kujitofautisha na Wafanyabiashara Wengine na Kuwaibia Wateja.

..

20.Kanuni 12 Zilizothibitishwa Za Huduma Kwa Wateja

..

21.Tabia 12 Zinazo Fukuza Wateja Kwenye Biashara Yeyote.. 

..

22.Mambo 20 Yanayoongoza Kwa Kuua Biashara Nyingi

..

23.Mambo Yanayosababisha Biashara Nyingi Za Wanawake Kufa.

..

Thamani ya Kitabu Hiki ni Tsh 35,000 ni SOFT COPY (PDF), japokuwa kwa sasa kipo kwenye punguzo la bei kutokana kwamba ndio kinazinduliwa rasmi, hivyo utakipata kwa Tsh. 10,000 tu badala ya Tsh 30,000. 

..

ANGALIZO: Kama Hauna Nia ya dhati ya Kufanya Biashara Yenye Mafanikio Makubwa Zaidi, Tafadhali USILIPIE KITABU HIKI, Utapoteza Pesa Zako Bure.

Ni heri hiyo pesa Ukanunua Chips na Soda Ukamwagilia Moyo.

Ni Follow Instagram Hapa

WhatsApp: 0674486018


More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

5,000 Tsh. 2,500 Tsh.

Sold by: Joyce Mwakajonga

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold
20,000 Tsh.

Sold by: Aminatha Twahir

1,500 Tsh.

Sold by: MTALIMBO BOOKS

7,000 Tsh.

Sold by: Edius Katamugora

20,000 Tsh.

Sold by: Prophet Pd John