Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kutafsiri Ndoto- Ebook - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

JINSI YA KUTAFSIRI NDOTO- Ebook

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 17, 2026
Product Views:
8
In category:
Sample

Ndoto zimekuwa na sehemu kubwa katika maisha ya mwanadamu yoyote wa kawaida hivyo uelewa wa ndoto ni uelewa pia wa maisha ya binadamu na jinsi gani wanadamu wanaweza kuwasiliana hata mda mwengine kukutana na viumbe visivyoonekana vinavyoishi katika ulimwengu wa roho, kupuuzia ndoto ni kupuuzia jambo la msingi kwenye maisha ya mwanadamu na hata kupuuzia mauhisia na makanyo ya Muumba, pia kupuuzia mapando mabaya ya mwovu Shetani, kwahiyo ni hasara sana kwa mwanandamu anayepuuzia ndoto na kuona kama si jambo la maana

JINSI YA KUTAFSIRI NDOTO ni kitabu kilichoandikwa katika ufunuo wa Roho Mtakatifu chenye suluhisho ya vitu vya main go vinavyomuwezesha mtu kuwa mueledi katika ulimwengu wa ndoto. Kitabu kimeandikwa na Gift Kyando mhubiri wa neno na Mungu na mtu ambaye ametumika kutafsiri ndoto kwa miaka mingi.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold