JINSI YA KUTENGENEZA FACEBOOK ADS
Price:
55,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 29, 2020
Product Views:
7,065
Sample
Watch Sample
Jifunze jinsi ya kutengeneza matangazo kwenye mtandao wa facebook.
Ndani ya VIDEO hii utajifunza jinsi ya kutengeneza
- Facebook ads (matangazo ya facebook)
- Jinsi ya kulipia matangazo facebook
- Jinsi ya kuchagua hadhira (audience)
- Jinsi ya kulink tangazo lako na messenger
- Jinsi ya kulink tangazo lako na whatsapp
- N.k.