KUWA KIONGOZI WA VIONGOZI
Kitabu cha muongozo kwa walioitwa kuongoza wale wanaoongoza (viongozi), ukiwa mmoja wao usikose hekima hii.
Katika kitabu hiki utajifunzarnkwa kina kutazama, namna gani unaweza kuwa kiongozi wa walioitwa kuongoza. Zaidi utaona kwanini ni muhimu kuwa kiongozi wa viongozi.
Wote tunatambua kwa lugharnnyepesi kiongozi ni mtu ambaye anayo maono au dira fulani ambayo ameyaamini. Kupitiarnushawishi anawasilisha maono yake kwa watu, ili watu hao waamue kujitoa narnkumfuata ili kuhakikisha maono hayo yanatimia.
rnrnrnrn
Kumbuka ndani ya kila mturnkabla sijaenda mbali kuna mbegu ya uongozi. pata nakala yako kujifunza zaidi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza