MIKAKATI MIWILI YA JINSI YA KUWEKEZA KATIKA HISA
MIKAKATI MIWILI YA JINSI YA KUWEKEZA KATIKA HISA
Kitabu hiki chenye kurasa 88 ni muendelezo wa jinsi ya kuwekeza katika soko la hisa na katika kitabu hiki utajifunza vitu vikuu viwili
1) MKAKATI WA KUWEKEZA KWA GAWIO (dividend)
Hapa utajifunza mambo unayohitaji kuyajua ili kuwekeza kwa faida kwa njia ya gawio, mambo ha kuzingatia ili kupata faida nzuri na kipi utegemee kama unakuwa muwekezaji wa gawio
2) MKAKAKATI WA UKUAJI WA MTAJI (capital gain)
Hapa pia utajifunza ni namna gani unaweza kupata faida kwa njia ya ukuaji wa mtaji pia ni kipi unatakiwa kufanya ili kuwa muwekezaji wa gawio na jinsi ya kuepuka changamoto zinazoendana na uwekezaji wa ukuaji wa mtaji
MENGINEYO
A) Jinsi ya kutafuta thamani halisi ya hisa na pia
B) njia rahisi ya kutafuta hisa ya kununua
Nb Hii ni kwa soko la hisa la DSE( dar es salaam stock exchange) pekee.