JINSI YA KUIJUA KAMPUNI YA WIZI
Price:
1,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 13, 2022
Product Views:
586
Sample
JINSI YA KUIJUA KAMPUNI YA WIZI (SCAM)
Watu wamekuwa wakiibiwa kila siku kwa kuwekeza katika kampuni ambazo zina mashaka au hazieleweki, je ungependa kujua namna ambavyo unaweza kujua kampuni gani au uwekezaji gani ni wa wizi? Basi hiki kitabu kidogo kitakupa dalili sita za kujua kama kampuni iliyoko mbele yako ya wizi au la