JE NI KIASI GANI UMEPOTEZA
JE NI KIASI GANI UMEPOTEZA
Ujue pesa ni kitu cha ajabu sana unaweza kuipoteza hata kama iko mkononi mwako hii ni kwa sababu pesa imeunganisha na uchumi mzima kwa hiyo kitakachotokea katika uchumi mzima kitaathiri pesa iliyoko mkononi mwako.
Nikupe mfano
Chukulia wewe na rafiki yako mna Tsh 100000/= mwanzoni mwa mwaka lakini wewe pesa yako ukaiwekeza kwa riba ya asilimia 10 wakati rafiki yako akaiweka hela yake ndani, unadhani baada ya mwaka mmoja nani atakuwa bora
Mwisho wa mwaka wewe utakuwa na 110000( pesa yako pamoja na faida), wakati rafiki yako atakuwa na Tsh 100000/= tu, unadhani kuna kitu rafiki yako amepoteza? Ukitaka kujua zaidi soma makala nzima na nakuhakikishia utakuwa na hekima ya fedha baada ya kusoma kurasa 7 za andiko hili