Siri Ya Matunda Dhidi Ya Presha
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 16, 2026
Product Views:
42
Sample
Kitabu kinachoelezea Shinikizo la damu la juu na namna ya kudhibiti Shinikizo la Juu la damu na kuurudisha kwenye msawazo wa kawaida ndani ya siku 14 kwa kutumia matunda 4 tu yanayopatikana katika mazingira yetu ya kila siku.
Kitabu hiki ni mwongozo wa kuelewa shinikizo la damu kwa ukubwa na madhara yake.
Namna ya kudhibiti Shinikizo la juu la Damu kwa kutumia matunda 4 yanayopatikana katika mazingira yetu.
Kikiwa kimegawanyika katika Sura tano ambazo ni:-
- Ukweli kuhusu Presha au shinikizo la juu la damu
- Maana ya presha au shikinikizo la juu la damu
- Matibabu na dawa
- Namna ya kuandaa
- Matumizi na dozi yake
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza