Your Basket

Checkout | Shopping Cart
U Binti Wa Nani Wewe - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

U BINTI WA NANI WEWE?

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 10, 2024
Product Views:
351
In category:
Sample

Namna Binti Anavyoweza Kuishi Maisha Ya Ushindi Na Mguso Chanya Kwa Jamii Inayomzunguka Na Dunia Kwa Ujumla

Katika Karne Hii Ya 21, Unawezaje Kuwa Binti Mwenye Maisha Ya Ushindi Dhidi Ya Dhambi Na Ushawishi Mkubwa Wa Kuangukia Upotevuni?

Unawezaje Kuishi Maisha MATAKATIFU Katikati Ya Dunia Hii Iliyojaa Kila Aina Ya Mitego Na Ushawishi Wa Kukuangushia Maovuni?

Unawezaje Kuwa Binti Mwenye Maisha Yenye Mvuto Na Ushawishi Chanya Kwa Jamii Yako Na Dunia Hii Katikati Ya Zamani Hizi Zilizopotoka?

Unawezaje Kutengeneza Maisha Yenye Uthamani Kiasi Cha Kufanikiwa Kuwa Kielelezo Kwa Jamii Yako Na Dunia Kwa Ujumla?

Haya Ni Maswali Muhimu Ambayo Inawezekana Umekuwa Ukijiuliza, Na Hata Kama Hujawahi Kujiuliza; Basi Majibu Ya Maswali Haya Na Mengine Mengi Yameachiliwa Ndani Ya Kitabu Hiki Kwa Msaada Wa Roho Mtakatifu.

Mithali 4:7

[7]Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu. 

Maandiko Yanatutaka Kwa Gharama Zetu Ikiwezekana Zote Tujipatie Ufahamu, Kwanini TUTUMIE Gharama Kujipatia Ufahamu?

Mithali 11:9

[9]Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake; Bali wenye haki watapona kwa maarifa. 

Maandiko Yanatujibu Swali Hili Muhimu Sana, Wenye Haki Watapona Kwa Maarifa! Tunaishi Kwenye Dunia Ambayo Kwa Gharama Zozote Unapaswa Kutafuta Maarifa Sahihi Yatakayokusaidia Uishi Maisha Ya Ushindi, Uthamani, Utofauti, Mguso Chanya Kiasi Cha Dunia Kukuuliza U Binti Wa Nani Wewe..

Kitabu Kimebeba Sehemu Ya Maarifa Yanayotokana Na Ufunuo Wa Roho Mtakatifu Kutokea Kwenye Neno La Mungu, Na Maarifa Haya Yatakusaidia Na Kukuwezesha Kuwa Binti Mwenye Maisha Ya Ushindi, Uthamani, Utofauti Na Mguso Chanya Kwa Jamii Inayokuzunguka Na Dunia Kwa Ujumla!

Mwanzo 24:23

[23]akasema, U binti wa nani wewe? Tafadhali uniambie. Je! Iko nafasi katika nyumba ya baba yako tupate mahali pa kukaa kwa muda?

U Binti Wa Nani Wewe?

Karibu Ujipatie Nakala Yako Sasa..!


More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold