Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Usichojua Kuhusu Wanaume - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

USICHOJUA KUHUSU WANAUME

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 07, 2020
Product Views:
3,075
In category:
Sample

Unahisi unamjua mwanaume ni nani? Jaribu kuwaza tena. Zaidi ya asilimia 75 ya migogoro ya mahusiano baina ya wenzi ni matokeo ya tafasiri isiyo sahihi ya hulka na vitendo vya wenzi wao. Katika kitabu hiki nimeainisha mambo 11 ambayo unapaswa kuyajua kuhusu wanaume. Mambo haya yatageuza kabisa mtazamo wako kuhusu mahusiano, yatarejesha amani na furaha na yatakupa kuishi maisha yenye utulivu katika mahusiano yako na mwenzi wako.

Kwanini mahusiana na ndoa zinamigogoro mingi?

Kwanini wengi wanaumia na kuumizwa na wenzi wao?

Kwanini mahusiano na ndoa hazidumu?

Kwanini udhalilishaji wa kijinsia unaongezeka kila kukicha?

Kwanini swala la uaminifu limekuwa gumu kwenye mahusiano?

Kwanini wanawake ndio huonekana kuumizwa zaidi kuliko wanaume?

Kwanini wanaume wengi nyakati hizi huwatelekezea majukumu ya kifedha wanawake?

Kwanini wanaume wengi nyakati hizi hukimbia majukumu ya familia?

Kwanini wanaume huonekana kupinga mafanikio na maendeleo ya wake zao?

Maswali haya na mengine mengi nimeyajibu kwa kina ndani ya kitabu hiki. Pakua sasa uanze safari ya kubadili maisha yako.

More Products On Discount
5,000 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

98,000 Tsh. 60,000 Tsh.

Sold by: Prophet Pd John

7,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

7,000 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda

Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold