• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kazi Ya Mzungu - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KAZI YA MZUNGU

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jun 08, 2021
In category:
Sample

KAZI YA MZUNGU Simulizi ya safari na harakati za kimaisha za kijana Masuke kutoka kijijini Malonje huko Morogoro. Changamoto na jitihada zake zinamkutanisha na tajiri Mzungu, mwanasayansi Steve Curl. Kwa pamoja wanaunda timu inayookoa dunia dhidi ya janga la kibayolojia na kundi hatari la ENTRY ambalo ndio sababu ya janga hilo. Lakini anapodhani yuko Salama na dunia yake, anajikuta anakabili hatari kubwa zaidi. Ni hatari gani? Simulizi hii imegusia maisha katika nyanja za Mapenzi, ujasusi, njama, intelijensia na ugaidi. Ni moja ya kazi pendwa sana kutoka kwa mwandishi wa 'Mateka wa Huba' pamoja na ile ya 'Mheshimiwa the Don', David Ngocho Samson.

KAZI YA MZUNGU


Simulizi ya safari na harakati za kimaisha za kijana Masuke kutoka kijijini Malonje huko Morogoro. Changamoto na jitihada zake zinamkutanisha na tajiri Mzungu, mwanasayansi Steve Curl. Kwa pamoja wanaunda timu inayookoa dunia dhidi ya janga la kibayolojia na kundi hatari la ENTRY ambalo ndio sababu ya janga hilo. Lakini anapodhani yuko Salama na dunia yake, anajikuta anakabili hatari  kubwa zaidi. Ni hatari gani?


Simulizi hii imegusia maisha katika nyanja za Mapenzi, ujasusi, njama, intelijensia na ugaidi.


Ni moja ya kazi pendwa sana kutoka kwa mwandishi wa 'Mateka wa Huba' pamoja na ile ya 'Mheshimiwa the Don', David Ngocho Samson.

Other products from this category